Pakua App Yetu Playstore Bofya Hapa!

XBIASHARA

MBOLEA OGANI CHANYA I Mshindo Media

Image result for di grow application

Mbolea yenye kuweza kufyonzwa na majani ya mimea
Mbole ya kisasa na wakati ujao
Inafaa kwa kila aina ya mimea.


D.I.GROW.
Ni mbolea ogani kimiminiko yenye asili ya magugu ya baharini aina ya Acadia ambayo imeundwa kwa kutumia teknolojia ya Marekani.
Imesheheni: N (Naitrojeni), P (Fosforasi), Ca (Kalisi) Mg Magnesi), S (Salfa), Fe (Chuma), Zn (Zinki), Cu (Shaba), Mo (Molebdenamu), B (Boroni), Auxini, Cytokinin, Giberellini, asidi ya mboji, magugu ya baharini, vyote hivi husababisha ukuaji wenye afya, na ustawishaji na uzalishaji.
Kuna aina mbili za  Organic Plus Fertilizer.

D.I.GROW (Growth Booster) (KIJANI)
HUtumika wakati mmea unakuwa ukiwa mche, baada ya mavuno, na wakati afya ya mmea inapozorota
- huchochea ukuaji mizizi, majani, na mazao haraka
-huongeza kasi ya usanidinuru kwenye majani
-huchochea ufyonzaji virutubisho kwenye mmea
huendeleza upinzani dhidi ya maradhi na kinga maradhi
-huhakikisha ukuaji na kupevuka
-hurudisha afya kwa mmea baada ya kuvunwa.

D.I.GROW (Fruits & Flowers Enhancer) (NYEKUNDU)
hutumika wakati mmea unachanua na kutoa matunda
-huharakisha, kuchanua na uzalishaji wa matunda

-hupunguza kupukutika kwa maua na matunda kabla ya wakati
-huongeza ubora wa maua na matunda
-huzaa matunda makubwa, kwa wingi na huwa matamu zaidi
-huongeza ukusanyaji wa usanidinuru kwa hiyo hutoa matunda,kiazi,kitunguu, mzizi
huongeza muda ambao tunda linaweza kuhifadhiwa kwenye ghala kabla ya kuanza kuharibika.Image result for di grow application

KAMILIFU NA YENYE URARI WA VIRUTUBISHO VYA MIMEA HUONGEZA NISHATI YA MIMEA
Imetengenezwa ili iweze kuchanganywa na viuavidudu au viuakuvu.
Itumike mapema asubuhi au jioni.
.....................................................................................................................

About Anonymous

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.