Pakua App Yetu Playstore Bofya Hapa!

XKILIMO

LIJUE ZAO LA TIKITI MAJI I Mshindo Media

 Matikiti maji aina ya sugar baby ambayo yanajulikana kwa ubora na utamu pamoja na biashara inachukua siku 60 kukua na ukiongeza na siku 3-5 za kukaa ardhini .Zao hili unaweza kulima Mara 4 kwa mwaka.Mfano,ukiwa na hekari 5,kila hekari moja inaweza kuingiza Tsh 1,000,000/= hadi 3,000,000/=.


Mambo Muhimu;

√Nafasi ya 2mm kuachwa kutoka mmea mmoja na mwingine.
√Mbegu 2 kila shimo(matundu 2-3).
√Kila shimo unaweza kupata matunda 4-6(wastani 5).
√Kwa ukubwa wa hekari 5 unaweza kuwa na ukubwa wa mashimo 1,000-1,500.
Idadi ya matunda(mashimo×matunda kwa shimo Mara hekari=1,000×5×5=25,000).

Matokeo;

Mapato,wastani Tsh 500/=.
Kwa hekari 5(25,000×500=12,500,000/=)
Mapato kwa Mwaka(2,500,000×4=50,000,000/=).
Gharam za Uendeshaji(25,000,000/=).
Faida kwa ujumla(25,000,000/=).

Mbinu za kuchagua tikitimaji lilo bora (outside structure considerations).

IMG-20190726-WA0014.jpeg

About Mshindo Media

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.